Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 290:
Hadi sasa idadi ya barabara za [[lami]] si kubwa. Kuna hasa njia nzuri kati ya [[Dar es Salaam]], [[Mbeya]] katika kusini-magharibi, Dodoma katika kitovu cha nchi, Arusha / Tanga katika kaskazini-mashariki. Kusini-Mashariki na Magharibi ya nchi kwa jumla haina barabara nzuri na [[mawasiliano]] ni magumu.
 
Mashirika mawili ya reli yanayohudumia Tanzania: ni TRC ([[Shirika ya Reli Tanzania]] - T''anzaniaTanzania Railways Corporation'') na [[TAZARA]] (''Tanzania-Zambia Railways Corporation''). TRC imetawala reli ya kati kuanzia Dar es Salaam hadi [[Kigoma]] halafu reli ya Tanga kati ya Tanga na Arusha. Tazara imeunganisha Dar es Salaam na kusini ya nchi hadi Zambia. Zote hazikutunzwa vizuri na usafiri unakumbwa na huduma mbaya pamoja na [[ajali]].
 
Huduma kwa ndege zinatumia hasa viwanja vya ndege 11 vyenye barabara ya lami kwa ajili ya ndege, hasa [[Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere|Julius Nyerere/Dar es Salaam]], [[Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro|Kilimanjaro/Arusha-Moshi]] na [[Zanzibar]]-Kisauni. Pia kuna viwanja vingine vya ndege kama vile uwanja wa ndege wa Mwanza, Bukoba na Kigoma.
Mstari 330:
* [[Orodha ya Masultan wa Zanzibar]]
* [[Mikoa ya Tanzania]]
* [[Utawala wa Kijiji - Tanzania|Utawala wa Kijiji – Tanzania]]
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu]]