Mangwair : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Mangwair.jpg|right|thumb|Mangair a.k.a Mimi]][[Image:Ngwair_2.jpg|right|thumb|Mangair a.k.a Cow Boy]]
'''Albert Mangwair''' a.k.a Mimi a.k.a Ngwair ni msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani [[Dodoma]]. Hivi sasa anaishi jijini [[Dar es Salaam]], [[Tanzania ]]ambako ndiko alikokutana na Mtayarishaji mahiri wa muziki [[P Funk]] na kuanza kufanya naye kazi. Hiyo ilikuwa ni mwaka 2003 ambapo alitoa kibao cha kwanza kiitwacho 'Gheto Langu,' nyimbo ilimpatia umaarufu mkubwa. Mangwair pia aliwahi kushinda tuzo ya [[Kilimanjaro Music Awards]] kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005.
Mwaka wa 2007 akatokea kwa wimbo wa kimya kimya akiwa na wana chemba.Katika Kimya Kimya anapagawisha.