Panteno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
==Maisha==
[[File:Silk route.jpg|thumb|250px|[[Ramani]] ya [[Barabara ya hariri]] ikionyesha njia za zamani kati ya mabara.]]
Mzaliwa wa [[kisiwa]] cha [[Sisilia]] ([[Italia]]) Panteno alikuwa [[mwanafalsafa]] mwenye kufundisha mjini [[Aleksandria]].<ref>{{cite book|title=Butler's Lives of the Saints, Volume 7|page=48|publisher=A&C Black|author1=Alban Butler|author2=Paul Burns}}</ref> Baada ya kuongokea [[Ukristo]], alijitahidi kulinganisha [[imani]] yake mpya na [[falsafa]] ya [[Ugiriki wa Kale]].<ref>Cf. Article "Clement of Alexandria" in the St. Thomas Christian Encyclopaedia of India, Ed. George Menachery, Vol. II, 1973, p.201</ref><ref>Clement, ''Stromata'', 1.1.</ref> AlthoughHata nohivyo writingshakuna by[[maandishi]] Pantaenusyake areyoyote extant,yaliyobaki hadi leo.<ref>Although Lightfoot (''Apost. Fathers'', 488), and [[Pierre Batiffol|Batiffol]] (''L'église naissante'', 3rd ed., 213ff) attribute the concluding passages of the ''Epistle to Diognetius'' to Pantaeus; see "Pantaenus" in ''The Westminster Dictionary of Christian History'', ed. Jerald Brauer.</ref>
 
Aliongoza [[Chuo cha Kikristo cha Aleksandria]] ([[Misri]]) kuanzia [[mwaka]] [[180]] hivi. Ndicho [[chuo]] cha kwanza cha [[katekesi]], nacho kiliathiri sana [[teolojia]] ya baadaye, hasa juu ya [[Biblia]], [[Utatu]], [[Kristo]]. Kilipoanzishwa kusudi lake lilikuwa kuwaelimisha [[Wapagani]] waliotafuta habari za imani mpya ya Kikristo kabla ya [[ubatizo]]. Chuo cha Aleksandria kikaendelea haraka kuwa [[kitovu]] cha elimu ya Kikristo na [[majadiliano]] kati ya imani ya Kikristo na [[falsafa]] ya Kigiriki iliyostawi sana Aleksandria, [[mji mkuu]] wa [[Misri]] wakati huo.