Kalenga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Iringa and Alt-Iringa.png|thumb|Ramani ya 1914 ya Kijerumani inaonyesha Iringa (iliyoundwa kama kituo cha Kijerumani na kuwa mji wa leo) pamoja "Alt-Iringa", inayojulikana leo kama Kalenga. Hii ilikuwa mji mkuu wa Mtemi Mkwawa.]]
'''Kalenga ''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]] yenye [[Postikodi Tanzania|Postikodi namba]] 51201. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,963 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref> [[Msimbo wa posta]] ni 51201.
 
Hadi mwanzo wa [[ukoloni]] Kalenga ilitwa pia "Iringa"; baada ya [[Wajerumani]] kuanzisha "Iringa Mpya" ''(Neu-Iringa)'' kwenye mahali pa mji wa leo, waliita mahali asilia "Iringa ya Kale" ''(Alt-Iringa)''<ref>[[Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920)]], makala "Iringa", [http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/php/suche_db.php?suchname=Iringa online hapa (jer.)]</ref>.
 
==Kalenga-Iringa na historia ya mtemi Mkwawa==
[[Picha:Iringa - Kalenga 1894.png|thumb|320px|Ramani ya Kalenga - Iringa mnamo mwaka 1897 (mchoro unaonyesha shambulio la vikosi vya [[Schutztruppe]] ya Wajerumani)]]
[[Picha:Skull of Mkwawa.jpg|thumb|320px|[[Fuvu la kichwa]] cha Mtemi Mkwawa katika makumbusho ya Kalenga.]]
Kalenga ilikuwa [[makao makuu]] ya [[Mtemi]] [[Mkwawa]]<ref>[http://www.mkwawa.com/kalenga Fungu "Kalenga" kwenye Mkwawa.com], iliangaliwa Machi 2017</ref> aliyeongoza [[upinzani]] wa [[Wahehe]] dhidi ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] katika miaka ya [[1891]] - [[1896]].
 
Kalenga ilikuwa [[makao makuu]] ya [[Mtemi]] [[Mkwawa]]<ref>[http://www.mkwawa.com/kalenga Fungu "Kalenga" kwenye Mkwawa.com], iliangaliwa Machi 2017</ref> aliyeongoza [[upinzani]] wa [[Wahehe]] dhidi ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] katika miaka ya [[1891]] - [[1896]]. Huko Kalenga Mkwawa aliwahi kujenga [[boma]] imara ya [[mawe]] baada ya kujifunza kuhusu uenezajiuenezi wa Wajerumani kutoka sehemu za [[pwani]]. Boma hii liliitwa Lipuli. [[Ujenzi]] ulianza mnamo [[1887]] ukachukua miaka minne. Mji wote ulijulikana kama "Iringa" maana jina hili linataja mahali palipoviringishwapalipozungukwa na [[ukuta]]<ref>Glauning (1898) uk. 47; Glauning (aliyekuwa afisa wa jeshi la Kijerumani alitaja pia miji mingine iliyoitwa "Iringa" kama iliviringishwailizungukwa na ukuta, kwa mfano Utengule wa Mtemi Merere wa Usangu</ref>.
 
Baada ya kushindwa kwa [[jeshi]] la Kijerumani la [[Schutztruppe]] la Kijerumani katika mapigano ya [[Lugalo]] mwaka 1891, Wajerumani walirudi kwa nguvu zaidi wakashambulia Lipuli - Kalenga kwenye [[Oktoba]] [[1894]] kwa [[silaha]] kali kama [[mizinga]] na [[bombomu]].
 
Mkwawa alifaulu kukimbia wakati wa kutekwa kwa [[boma. Akaendelea]] kuendeshaakaendesha [[vita ya msituni]] hadi [[kujiua]] mwaka [[1898]] alipoona hatari ya kukamatwa ilhali alijeruhiwa vibaya. Inasemekana Wajerumani walikata [[kichwa]] chake na kutuma [[fuvu]] lake [[Ujerumani]].
 
Baada ya kushindwa kwa [[Ujerumani]] katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], washindi, hasa [[Uingereza]], walisisitiza fuvu lirudishwe: hivyo kuna fungu 246 katika [[Mkataba wa Versailles]] linalotaja fuvu la Mkwawa. Wajerumani walidai baadaye kuwa wanashindwa kulikuta, hivyo ilichelewawalichelewa hadi baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakati [[jeshi]] la Uingereza lilikuwalilipokuwa na [[utawala]] juu ya sehemu zaya Ujerumani ya kwamba Waingereza waliteua fuvu [[moja]] katika mkusanyiko wa [[Makumbusho ya Bremen]] na kulituma [[Tanganyika]] kama fuvu la Mkwawa.
Kalenga kuna [[makumbusho]] kwa [[heshima]] ya Mtemi Mkwawa na fuvu hilo linahifadhiwa humo tangu kurudishwa mwaka [[1954]].
 
==MarejeoTanbihi==
{{marejeo}}
 
==Marejeo==
* [http://brema.suub.uni-bremen.de/download/pdf/2143167?name=Uhehe Glauning, Hans: Uhehe; Berlin, 1898] (Verhandlungen der Abteilung Berlin-Charlottenburg / Deutsche Kolonialgesellschaft, Electronic Edition Bremen : Staats- und Universitätsbibliothek, 2018, URN urn:nbn:de:gbv:46:1-15493)
 
{{Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini}}
 
{{mbegu-jio-iringa}}