Khadija Kopa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 25:
 
Siku moja alikuwa amekaa huku akiiga wimbo. Akapita babu yake aliye katika kikundi cha Culture Musical Club cha Zanzibar. Akamsifia ya kwamba anajua kuimba. Basi akachukua hatua ya kuandika barua kwa niaba yake bila ya kumshauri, akaipeleka Culture Musical Club kuomba ajiunge nao.
 
Khadija pia amepata kushirikiana na waimbaji wengine wa kike kama vile [[Mwanamtama Amir]], marehemu [[Leila Khatib]] na wanaume kama akina [[Abdul Misambano]] na [[Ali Star]], waliporomosha nyimbo ambazo zilitamba miaka hiyo katika ulimwengu wa Taarab.
 
==Tazama pia==
*[[Mzee Yusuph]]
Line 35 ⟶ 37:
*[http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/simulizi-tamu-ya-khadija-kopa {{PAGENAME}}] katika [[Tanzania Today]]
 
{{mbegu-mtumwanamuziki-TZ}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1963]]
[[Jamii:Watu walio hai]]