Moshi William : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Moshi William.jpg|thumb|300px|Mwanamuziki Moshi William wakati wa uhai wake. Picha kwa hisani ya [http://issamichuzi.blogspot.com/ Muhiddin Issa Michuzi]. ]]
'''TX Moshi William''' ([[jina]] halisi: '''Shaban Ally Mhoja Kishiwa''') alikuwa mmoja wa [[wanamuziki]] mahiri wa [[muziki wa dansi]] nchini [[Tanzania]] aliyeweza kurekodi [[albamu]] 13.

Alizaliwa [[Tanga]] mwaka [[1958]] na kufariki [[dunia]] [[29 Machi]] [[2006]] na kuacha [[mke]] mmoja na [[watoto]] wanne na aliweza kurekodi [[albamu]] 13.
 
Kwa miaka mitatu mfululizo (2003, 2004, 2005) Moshi William alitunukiwa tuzo ya kitaifa ya utunzi bora.
Line 10 ⟶ 12:
Ukipita mitaa ya Keko Machungwa [[Jiji|jijini]] [[Dar es Salaam]] sehemu alikokuwa anaishi mwanamuziki huyu lazima utasikia [[moja]] ya nyimbo zake zikipigwa katika [[klabu]] mbalimbali au kwenye [[jumba|majumba]] ya wenyeji. Pia katika [[miji]] mbalimbali ya [[Afrika Mashariki]] na [[Afrika ya Kati|kati]] mwanamuziki huyu alifananishwa sana na mwanamuziki [[Madilu System]] wa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] kutokana na staili yake ya [[uimbaji]] katika Bendi ya [[Msondo Ngoma]] na mtoto wake Hassan Moshi William.
 
Ama hakika [[kifoKifo]] cha mwanamuziki Moshi William kiliacha pengo kubwa sana katika Bendi ya Msondo Ngoma.
{{mbegu-mwanamuziki-TZ}}
 
{{DEFAULTSORT:Moshi William}}
[[Category:Waliozaliwa 1958]]