Nandy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 35:
}}
 
'''Nandy''' (amezaliwa tar. [[9 Novemba]], [[1992]]) ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[nyimbo]] kutoka nchini [[Tanzania|Tanzanian]].

Mwaka wa 2017 alishinda tuzo ya [[All Africa Music Awards]] katika kundi la wasanii bora wa kike kutoka [[Afrika Mashariki]].<ref name="auto">{{Cite news|url=https://www.musicinafrica.net/magazine/afrima-2017-full-list-winners|title=AFRIMA 2017: Full list of winners|date=2017-11-13|work=Music In Africa|access-date=2018-05-12|language=en}}</ref><ref name="auto1">{{Cite news|url=http://www.azaniapost.com/entertainment/bongo-flava-ali-kiba-nandy-win-awards-at-afrima-in-nigeria-h9093.html|title=Bongo Flava: Ali Kiba, Nandy win awards at AFRIMA in Nigeria|last=Azaniapost|work=Azaniapost|access-date=2018-05-12|language=tr}}</ref>
 
==Maisha ya awali==
Nandy alizaliwa [[Moshi (mji)|Moshi, Tanzania]] na Bi. Mary Charles, fundi kushona na Mzee Charles Mfinanga, ambaye ni fundi makenika. Jina la Nandy ni kifupi cha jina lake halisi Nandera. Alianza kutumbuiza akiwa na umri mdogo kabisa. Akiwa na miaka mitano, alikuwa mwanachama hai wa kwaya ya mafunzo ya Jumapili ya Kanisa la [[Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania|KKKT]] huko Moshi. Alimaliza elimu ya msingi katika shule ya msingi ya Mawenzi, baadaye kajiunga Lomwe High School ambako huko alikuwa mwana-kwaya mkuu katika shule hiyo. Baada ya kumaliza elimu ya juu alijiunga na Chuo cha Biashara (CBE), [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]].
 
==Kazi==
===Tanzania House of Talent===
Line 46 ⟶ 49:
 
Mwaka wa 2017 alitoa kibao chake kikali kilichokwenda kwa jina la ''One Day'' ambacho kilisukuma kazi yake na hatimaye kumpa nafasi kadhaa zilizomfanya hadi kushiriki kwenye Coke Studio Africa 2017 na mwaka huohuo akaja kuchaguliwa kwenye tuzo za [[All_Africa_Music_Awards#2017_Edition|All Africa Music Awards]] katika kundi la wanamuziki bora wa kike kutoka Afrika Mashariki na kuibuka mshindi.<ref>{{Cite web|url=http://www.coca-cola.co.ke/cokestudio/home/artists/season05/nandy/|title=MEET THE AFRICAN PRINCESS|work=coca-cola.co.ke|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.coca-colacompany.com/videos/nandy-mane-fitsum-cover-coke-studio-africa-ytgokxzmofrtc|title=Nandy: Mane Fitsum (Cover) - Coke Studio Africa|work=coca-colacompany.com|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://celebvibestar.co.ke/aslay-nandy-subalkheri-mpenzi/|title=Aslay – Subalkheri Mpenzi Ft Nandy|work=celebvibestar.co.ke|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.ethiosports.com/2017/09/09/coke-studio-africa-2017-officially-launches-in-ethiopia/|title=Coke Studio Africa 2017 Officially Launches In Ethiopia|work=ethiosports.com|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Nandy-and-AliKiba-shine-at-Afrima/1843792-4190288-al1cfbz/index.html|title=Nandy and AliKiba shine at Afrima|work=thecitizen.co.tz|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.mwananchi.co.tz/Makala/Nandy-atamani-kuwa-kama-Beyonce/1597592-3845790-9lst8s/index.html|title=Nandy atamani kuwa kama Beyonce|work=mwananchi.co.tz|language=sw|accessdate=4 May 2018}}</ref>
 
===Diskografia===
===Albamu===
=== Singo ===
*[[I'm Confident]] (2013)
Line 80 ⟶ 84:
==Marejeo==
{{Reflist}}
{{Mbegu-mwanamuziki-TZ}}
 
{{DEFAULTSORT:Nandy}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1992]]