Mr. Blue : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
| Tovuti =
}}
'''Khery Sameer Rajab''' (amezaliwaanafahamika tarzaidi kwa jina lake la [[jina la kisanii|kisanii]] kama '''Mr. Blue'''; amezaliwa [[14 Aprili]] [[1987]]) ni [[msanii]] wa [[muziki]] wa [[R&B]] na [[Bongo Flava]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la [[jina la kisanii|kisanii]] kama '''Mr. Blue'''.

Alifanikiwa kujizolea umaarufu mkubwa huku akipendwa na wapenzi na mashabiki, mara tu baada ya kuingia katika fani ya muziki na wimbo wake 'Mr Blue'. Ambapo baadaye ikaja kuwa kama ndiyo jina lake la kisanii.
 
Mr Blue alikuwa gumzo na wimbo 'Mr Blue' kabla ya kuja kupata umaarufu zaidi na wimbo wake wa '[[Mapozi]]', ambao ndiyo uliomzidishia kupendwa kutokana na mpangilio wa mashairi na sauti aliyotumia pamoja na maujanja ya ala ya muziki wenyewe.