Ruud van Nistelrooy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|'''Ruud van Nistelrooy''' '''Rutgerus Johannes Martinus "Ruud" van Nistelrooy''' (kuzaliwa 1 julai 1...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:53, 19 Mei 2019

Rutgerus Johannes Martinus "Ruud" van Nistelrooy (kuzaliwa 1 julai 1976) ni mchezaji wa zamani wa soka na kocha kutoka nchi ya Dutch. Kwa sasa ni kocha wa klabu ya soka ya PSV Eindhoven ya umri chini ya miaka 19. Alicheza kama mshambuliaji na yupo katika wafungaji bora wa tano wa Ligi ya mabingwa Ulaya akiwa na magoli 56. Aliwahi kuwa mfungaji bora wa Ligi ya mabingwa Ulaya kwa mara tatu, pia amekuwa mfungaji bora katika ligi mbalimbali balani Ulaya.

Ruud van Nistelrooy


Kigezo:Mbegu-cheza mpira