Allianz Parque : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Uwanja wa Alianz Parque|thumb|249x249px|Uwanja wa Allianz Parque '''Allianz Parque''' ni uwanja uliopo huko São Paulo, B...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:43, 19 Mei 2019

Allianz Parque ni uwanja uliopo huko São Paulo, Brazil, uliojengwa ili kupokea maonyesho, matamasha, matukio ya kampuni na hasa mechi za soka za timu ya Sociedade Esportiva Palmeiras. Uwanja huo unauwezo wa kubeba watazamaji 43,713.

Uwanja wa Alianz Parque
Uwanja wa Allianz Parque

Uwanja huu umekidhi viwango vyote vya FIFA, na hii hufanya uwanjwa kuruhusu kupata mashindano ya michezo muhimu zaidi.Ujenzi wa uwanja huo ulianza mwaka 2010 na kukamilishwa mnamo Novemba 2014.