Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
52,013
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Picha:WasteFinalDeposited.jpg|thumb|235x235px|Taka zikiwa kwenye [[shimo]].]]
'''Taka''' au '''takataka''' (ing. ''waste, trash, garbage, rubbish, junk'') ni mabaki ya vitu, pia yale yanayobaki baada ya kuzalisha vitu, pamoja na yale yaliyotumiwa tayari na ambayo hayana matumizi tena.
Takataka ni kila dutu inayotupwa baada ya matumizi yake, au yenye kasoro na kwa hiyo haiwezi kutumika tena. Takataka hutupwa.
==Neno==
Taka au takataka inamaanisha kiasili uchafu, kinachotupwa, kinachofagiwa, au pia vitu vidogo vya shamba visivyo na thamani kubwa<ref>linganisha [[Krapf (1882)]], "taka", pia [[Madan (1903)]] </ref>.
==Aina za takataka==
Takataka inaweza kutokea kwa hali [[mango]] au [[kiowevu]]. gesi chafu kwa kawaida haihesabiki kati ya takataka, isipokuwa gesi iliyobaki katika vyombo pamoja na vyombo vile.
==Hasara za taka==
Taka zina [[athari]] nyingi katika [[jamii]]. Athari hizo niː
*2. Husababisha [[uharibifu wa mazingira]]: hufanya [[mazingira]] kuwa machafu.
*3. Taka husababisha uharibifu wa [[maji]], [[misitu]] n.k.
Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye [[mashimo]] na kisha kuzichoma [[moto]] ili zisije zikaleta [[madhara]] kwenye jamii.
<references/>
{{mbegu-biolojia}}
[[Jamii:Ekolojia]]
[[Jamii:Takataka]]
|