Utomvu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 8:
 
==Utomvu wa floemu==
Utomvu wa floemu ni mmumunyo wa maji na [[sukari]], homoni na madini. Inashuka kutoka sehemu ambako [[kabohaidreti]] na sukari zinalishwa kwenda pale zinapohitajika, yaani kwenye sehemu ambako mmea unakua au sehemu ambako kabohaidreti zinatunzwa kama akiba.
 
==Matumizi==