Avengers: Infinity War : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300x300px|Nembo ya Avengers infinity war '''Avengers: infinity war''' ni filamu iliyoachiwa mwaka [...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Avengers Infinity War logo (updated).png|thumb|300x300px|Nembo ya Avengers infinity war.]]
'''Avengers: infinity war''' ni [[filamu]] iliyoachiwa mwaka [[2018]] kama mwendelezo wa filamu za [[Marvel Comics|Marvel]] Studios iliyosambazwa na [[Walt Disney Studios Motion Pictures]].

Filamu hii ilisimamiwa na [[Anthony]] na [[Joe Russo]], na kuandikwa na [[Christopher Markus]] na [[Stephen McFeely]]. Waigizaji katika filamu hiyo ni pamoja na [[Robert Downey Jr]], [[Chris Hemsworth]], [[Mark Ruffalo]], [[Chris Evans]], [[Scarlett Johansson]], [[Benedict Cumberbatch]], [[Don Cheadle]], [[Tom Holland]], [[Chadwick Boseman]], [[Paul Bettany]], [[Elizabeth Olsen]], [[Anthony Mackie]], [[Sebastian Stan]], [[Danai Gurira]], [[Letitia Wright]], [[Dave Bautista]], [[Zoe Saldana]], [[Josh Brolin]], na [[Chris Pratt]]. Katika filamu hii kikundi cha [[Guardians of the Galaxy (filamu)|Guardians of the galaxy]] pamoja na [[Avengers]] wanashirikiana ili kumzuia Thanos asiweze kupata [[mawe]] matano ya kuendesha maisha katika [[ulimwengu]].
 
<br />{{Mbegu-filamu}}
[[Jamii:Filamu za Marekani]]