Taka : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:WasteFinalDeposited.jpg|thumb|235x235px|Taka zikiwa kwenye [[shimo]].]]
'''Taka''' au '''takataka''' (
Takataka ni kila [[dutu]] inayotupwa baada ya matumizi yake, au yenye kasoro na kwa hiyo haiwezi kutumika tena. Takataka hutupwa.
==Neno==
Taka au takataka inamaanisha kiasili uchafu, kinachotupwa, kinachofagiwa, au pia vitu vidogo vya [[shamba]] visivyo na thamani kubwa<ref>linganisha [[Krapf (1882)]], "taka", pia [[Madan (1903)]] </ref>.
==Aina za takataka==
Takataka inaweza kutokea kwa hali [[mango]] au [[kiowevu]].
*[[Taka ogania]]
*[[Taka metali]]
Line 25 ⟶ 24:
Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye [[mashimo]] na kisha kuzichoma [[moto]] ili zisije zikaleta [[madhara]] kwenye jamii.
==Tanbihi==
<references/>
{{mbegu-biolojia}}
|