Utomvu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Utomvu''' ni kiowevu kinachopitishwa kati [[seli]] za [[mimea]]. Unasafirisha maji na lishe ndani ya mmea<ref>[https://www.britannica.com/science/sap-plant-physiology Sap (plant physiology)], tovuti ya [[Encyclopedia Britannica]] online</ref>.
[[File:Latex dripping crop.png|thumb|250px|Utomvu wa mpira ukikusanywa mtini]]
[[Picha:Palm-wine from Odinga Eneh.jpg|thumb|250px|Kukusanya utomvu wa mnazi]]
'''Utomvu''' ni [[kiowevu]] kinachopitishwa katikatika [[seli]] za [[mimea]]. Unasafirisha [[maji]] na [[lishe]] ndani ya mmea<ref>[https://www.britannica.com/science/sap-plant-physiology Sap (plant physiology)], tovuti ya [[Encyclopedia Britannica]] online</ref>.
Kutokana na aina mbili tofauti za seli za mimea , yaani [[zilemu]] na [[floemu]], kuna aina mbili za utomvu wa zilemu na utomvu wa floemu<ref>[http://www.emc.maricopa.edu/faculty/farabee/biobk/BioBookPLANTANAT.html PLANTS AND THEIR STRUCTURE], On-Line Biology Book, 2001</ref>.
 
Kutokana na aina [[mbili]] tofauti za seli za mimea , yaani [[zilemu]] na [[floemu]], kuna aina mbili za utomvu wa zilemu na utomvu wa floemu<ref>[http://www.emc.maricopa.edu/faculty/farabee/biobk/BioBookPLANTANAT.html PLANTS AND THEIR STRUCTURE], On-Line Biology Book, 2001</ref>.
 
==Utomvu wa zilemu==
Line 11 ⟶ 12:
 
==Matumizi==
[[Watu]] wametumia aina za utomvu, hasa ya floemu, tangu kale.
 
*utomvu wa [[minazi]] (na miti mingine ya [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Palmae]] (au: [[Arecaceae]]) huwa na sukari nyingi, hutumiwa kutengeza [[Mnazi (kinywaji)|mnazi]] (aina ya [[pombe]]) au pia [[shira]] na [[sukari]].
*utomvu wa aina za [[mikonge]] umetumiwa paleumetumika [[Meksiko]] sawa na mnazi wa [[Afrika]]
*utomvu wa [[miti]] ya [[Mpira (Hevea)|mipira]] hutumiwa kutengeneza [[mpira (dutu)|mpira]] kwa mataira[[matairi]] n.k.
*utomvu wa [[mbetula|mibetula]] hutumiwa na watu wa [[Urusi]] na nchi za [[Baltiki]].
*[[Kanada]] ni mashuhuri kwa shira kutoka kwa utomvu wa miti ya [[jenasi]] Acer (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''maple'')
 
==Marejeo==
<references/>
{{mbegu-biolojia}}
 
[[jamii:Mimea]]