Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
u
Mstari 29:
* Mawimbi ya redio
 
Magimba ya anga yanatoa kila aina ya mnururisho kwenye spektra.
Vipimo hivi vilipanusha tena elimu tuliyo nayo kuhusu muundo wa ulimwengu.
 
Vipimo hivi vilipanusha tena elimu tuliyo nayo kuhusu muundo wa ulimwengu. Mnururisho wa mandharinyuma (''ing. cosmic background radiation)'' ulitambuliwa uliothibitisha nadharia kuhusu umri wa ulimwengu tangu [[mlipuko mkuu]].
 
===Kuangalia nyota kwenye anga-nje===
Tangu mwanzo wa [[usafiri wa anga-nje]] wanaastronomia walipata nafasi ya kuangalia na kupima nyota nje ya athira ya angahewa ya Dunia (inayopunguza kiasi cha nuru inayoonekana) na nje ya ugasumaku wake.
 
Tangu miaka ya 1970 [[satelaiti]] mbalimbali zilirishwa zinazobeba [[darubini za anga-nje]]
 
(itaendelea)