Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
u
Mstari 34:
 
===Kuangalia nyota kwenye anga-nje===
Tangu mwanzo wa [[usafiri wa anga-nje]] wanaastronomia walipata nafasi ya kuangalia na kupima nyota nje ya athira ya [[angahewa]] ya Dunia (inayopunguza kiasi cha nuru inayoonekana) na nje ya [[ugasumaku]] wake.
 
Tangu miaka ya 1970 [[satelaiti]] mbalimbali zilirishwa zinazobeba [[darubini za anga-nje]]. Utafiti wa nyota umepanuka hadi kupima [[eksirei|miale ya eksirei]] na ya gamma inayozuiliwa na ugasumaku na angahewa. Maendeleo yamekuwa makubwa isipokuwa gharama zimekuwa pia kubwa za kuunda vifaa, kuvipeleka kwenye anga-nje halafu kuvitunza , hadi gharama za kupeleka watu huko juu kwa matengenezo.
 
 
 
Tangu miaka ya 1970 [[satelaiti]] mbalimbali zilirishwa zinazobeba [[darubini za anga-nje]]
 
(itaendelea)