Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 36:
Tangu mwanzo wa [[usafiri wa anga-nje]] wanaastronomia walipata nafasi ya kuangalia na kupima nyota nje ya athira ya [[angahewa]] ya Dunia (inayopunguza kiasi cha nuru inayoonekana) na nje ya [[ugasumaku]] wake.
 
Tangu miaka ya 1970 [[satelaiti]] mbalimbali zilirishwa zinazobeba [[darubini za anga-nje]]. Utafiti wa nyota umepanuka hadi kupima [[eksirei|miale ya eksirei]] na ya gamma inayozuiliwa na ugasumaku na angahewa. Maendeleo yamekuwa makubwa isipokuwa gharama zimekuwa pia kubwa za kuunda vifaa, kuvipeleka kwenye anga-nje halafu kuvitunza , hadi gharama za kupeleka watu huko juu kwa matengenezo. Kati ya darubini za anga-nje zilizokuwa mdhhuri sana ni [[Darubini ya Hubble]].
 
Pamoja na uwezo wa [[kompyuta]] wa kushughulikia idadi kubwa za data darubini za anga-nje zmeleta vipimo na data za nyota mamilioni.