Felix wa Cantalice : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Rubens Felice da Cantalice.JPG|thumb|200px|Felix wa Cantalice katika kazi yake ya [[ombaomba]] alivyochorwa na [[Pieter Paul Rubens]].]]
'''Felix wa Cantalice''' ndilo [[jina la kitawa]] la '''Felice Porri''' ([[Cantalice]], [[Rieti]], [[Italia]], [[1515]] hivi - [[Roma]] [[18 Mei]] [[1587]]) alikuwaaliyekuwa [[bruda]] wa [[urekebisho]] wa [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]], ambaye alipata kuwa [[mtawa]] wa kwanza wa shirika hilo kutangazwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtakatifu]].
 
Alitangazwa [[mwenye heri]] [[tarehe]] [[1 Oktoba]] [[1625]] na mtakatifu tarehe [[22 Mei]] [[1712]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[18 Mei]].
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]