Maji ya matunda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
na mengine mengi.
 
Pamoja na [[utamu]] wake, kinywaji kama hicho kinafaa sana kwa [[afya]], kwa sababu kinaongeza haraka [[vitamini]] muhimu [[mwili|mwilini]]. Kwa mfano, sharubati ya chungwa yenye vitamini C, [[asidi ya foliki]], na [[potasiamu]],<ref>{{cite journal |last1 = Franke |first1 = AA |last2 = Cooney |first2 = RV |last3 = Henning |first3 = SM |last4 = Custer |first4 = LJ |year = 2005 |title = Bioavailability and antioxidant effects of orange juice components in humans |journal = J Agric Food Chem |volume = 53 |issue = 13 |pages = 5170–8 |doi=10.1021/jf050054y |pmid = 15969493 |pmc=2533031}}</ref>.
 
Haya hivyo, unywaji wa kiasi cha juu wa maji ya matunda yaliyoongezwa [[sukari]] kunaweza kusababisha kuongezeka kwa uzito wa mwili <ref>{{cite journal |url=http://pediatrics.aappublications.org/content/118/5/2066.short |title=Fruit Juice Intake Predicts Increased Adiposity Gain in Children From Low-Income Families: Weight Status-by-Environment Interaction |journal=Pediatrics |volume=118 |issue=5 |pages=2066–2075 |author1=Myles S. Faith |author2=Barbara A. Dennison |author3=Lynn S. Edmunds |author4=Howard H. Stratton |date=2006-07-27|doi=10.1542/peds.2006-1117 |pmid=17079580 }}</ref><ref>{{cite journal |title= Association of key foods and beverages with obesity in Australian schoolchildren |author1=Andrea M Sanigorski |author2=A Colin Bell |author3=Boyd A Swinburn |journal=Public Health Nutrition |volume= 10|issue=2|pages= 152–157 |date=2006-07-04 |doi=10.1017/s1368980007246634|pmid=17261224 }}</ref> ingawa sio tafiti zote zinaonyesha athari hii <ref>{{cite journal |last1 = O'Neil |first1 = CE |last2 = Nicklas |first2 = TA |last3 = Kleinman |first3 = R |date = Mar 2010 |title = Relationship between 100% juice consumption and nutrient intake and weight of adolescents |url = |journal = Am J Health Promot |volume = 24 |issue = 4| pages = 231–7 |doi=10.4278/ajhp.080603-quan-76 |pmid = 20232604 }}</ref>. Maji ya matunda yakitokana na asilimia 100 na matunda, binadamu hupata viwango vya virutubisho vinavyohitajiwa kwa siku.If 100% from fruit, juice can help meet daily intake recommendations for some nutrients.<ref>{{cite web |title=All About the Fruit Group |url=https://www.choosemyplate.gov/fruit |website=Choose MyPlate |accessdate=28 May 2017 |language=en |date=11 February 2015}}</ref>
 
Kama tunda lina [[asidi]] nyingi kiasi ndani yake [[sukari]] huongezwa, lakini matunda mengine, hasa kama ni mabivu na yameiva penye [[jua]] kali, huwa na sukari ya kutosha ndani yake.
Line 27 ⟶ 29:
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
== Viungo vya nje ==
* [https://www.ecellulitis.com/5-healthiest-juices-in-the-world/ Maji ya matunda 5 yenye afya mwilini].
* [https://www.medicalnewstoday.com/articles/323136.php Faida na hasara za maji ya matunda].
* [https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC5438379/ Makala ya kitaaluma kuhusu faida za maji ya matunda na mboga].
* [http://www.bbc.com/future/story/20181231-is-juicing-actually-good-for-you Ni kweli maji ya matunda yana faida mwilini?].
 
 
 
 
 
{{mbegu-utamaduni}}