Mwai Kibaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 28:
 
 
'''Mwai Kibaki''' ni [[rais]] wa tatu wa [[Jamhuri ya Kenya]] akiwa ametanguliwa na Rais wa Kwanza wa [[Kenya]],[[Mzee Jomo Kenyatta]], na [[Daniel Arap Moi]]. Jina lake la kubatizwa ni Emilio Stanley .
 
Kibaki alisoma uchumi, historia na sayansi ya siasa katika chuo kikuu cha [[Makerere]], [[Kampala]], [[Uganda]]. Akiwa mwanafunzi Makerere, Kibaki alikuwa ni mwenyekiti wa chama cha wanafunzi toka [[Kenya]], Kenya Students' Association. Alipomaliza masomo yake mwaka 1955 alipewa tuzo kutokana na kufanya vyema katika mitihani. Tuzo hiyo ilimwezesha kwenda kusoma katika chuo cha [[London School of Economics]]. Alipomaliza masomo alikwenda kufundisha katika chuo kikuu cha Makerere. Baadaye aliacha kazi ya kufundisha na kuwa mtendaji mkuu wa chama cha [[Kenya African National Union]].