Mbingu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 41.59.208.11 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tag: Rollback
Mstari 13:
 
==Etimolojia==
Kiasili "mbingu" ni uwingi wa neno "uwingu"<ref>[[Charles Sacleux]], Dictionnaire Swahili- Français, Paris 1939, makala "uWingu"</ref> ambalo si kawaida sana tena. Uwingu linataja uwazi juu yetu, ni upeo wa [[mawingu]]. Mbingu kama uwingi wake unatokana na dhana la kuwepo kwa tabaka mbalimbali za uwingu huu, hivyo mbingu. Mataifa ya kale yaliamini kuweko kwa mbingu saba kwa sababu waliona mianga saba angani yaliyokuwa na mwendo kati ya nyota yaani [[Jua]], [[Mwezi]] na sayari tano zilizojulikana kabla ya kupatikana kwa darubini ([[Utaridi]], [[Zuhura]], [[Mirihi]], [[Mshtarii]] na [[Zohali]]). Hapa waliwaza kuwepo kwa mbingu saba ilhali kila moja alikuwa na tabaka yake ya uwingu. Kupitia maandiko ya Waislamu mtazamo huu wa dunia ulisambaa katika nchi nyingi hadi Uswahilini.ni sahihi kabisa
 
==Marejeo==