Alvaro Morata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Leicester 1 Chelsea 2 (37139292475).jpg|thumb|Alvaro Morata.]]
[[Picha:Chelsea 3 Newcastle 1 (38088802264).jpg|thumb|Alvaro Morata.]]
'''Álvaro Borja Morata Martín''' (kwa [[matamshi]] ya [[Kihispania]]: [alβaɾo moɾata]; alizaliwa [[23 Oktoba]] [[1992]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Hispania]] ambaye anacheza kama mchezaji wa [[ChelseaAtletico Madrid]] na [[timu ya taifa]] ya [[Hispania]].
 
Alianza kazi yake katika [[Real Madrid]], akifanya kwanza na [[timu]] ya mwandamizi mwishoni mwa mwaka [[2010]] na kuonekana katika [[michezo]] 52 rasmi (malengo 11), hasa kushinda [[Ligi ya Mabingwa]] ya [[2014]].
 
==Kazi ya klabu==
Alihamia [[Juventus]] kwa [[euro]] [[milioni]] 20 mwaka [[2014]], kushinda mara mbili ya ndani ya [[Serie A]] na [[Coppa Italia]] katika msimu wake wote kabla ya kununuliwa kwa [[€]] 30,000,000.
===Real Madrid===
Alianza kazi yake katika [[klabu]] ya [[Real Madrid]], akifanyaakicheza kwanzakwa namara [[timu]]ya yakwanza mwandamizi mwishoni mwa mwaka [[2010]] na kuonekana katika [[michezo]] 52 rasmi (malengo 11)madoli11, hasa kushinda [[Ligi ya Mabingwa]] yamwaka [[2014]].
 
===Juventus===
Kwa [[Real Madrid]], [[Morata]] alishinda kwenye [[La Liga]] na [[Ligi ya Mabingwa]] kabla ya kujiunga na [[Chelsea]] mwaka [[2017]] kwa [[£]] 58 milioni.
Alihamia [[Juventus]] kwa [[euro]] [[milioni]] 20 mwaka [[2014]], kushinda mara mbili ya ndani ya [[Serie A]] na [[Coppa Italia]] katika msimu wake wote kabla ya kununuliwa kwa [[€]] 30,000,000.
 
===Kurudi Real Madrid===
Mnamo tarehe [[21 Juni]] [[2016]], Real Madrid ilimrejesha tena Morata kutoka katika [[klabu]] ya Juventus kwa € 30,000,000.Mechi yake ya kwanza ya ushindani ilikuwa mnamo tarehe [[9 Agosti]], na kushinda 3-2 dhidi ya Sevilla katika Kombe la Super Cup UEFA, na kubadilishana na Benzema baada ya dakika 62.Goli lake la kwanza alilipata katika mechi waliyoshinda 2-1 dhidi ya Celta Vigo mnamo [[Agosti 27]] na baadaye kujiunga na [[klabu]] ya chelsea.
 
 
===Chelsea==
Mnamo tarehe [[19 Julai]] [[2017]], Chelsea walitangaza kuwa wamekubaliana na [[Real Madrid]] kwa uhamisho wa Morata, kwa ada ya rekodi ya [[klabu]] ya £ 60 milioni. Mnamo tarehe [[21 Julai]], alifanikiwa kupitisha matibabu yake na rasmi akawa mchezaji wa [[klabu]] ya Chelsea.
 
Mnamo tarehe [[5 Novemba]] 2017, Morata alifunga goli katika mechi ambayo walikuwa nyumbani dhidi ya Manchester United kwa goli1-0. Na katika mechi nyinine ambayo Chelsea walishinda 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika uwanja wa nyumbani Stamford Bridge.
 
 
===Msimu wa 2018-19===
Mnamo [[18 Agosti]] 2018, akifunga goli la pili katika ushindi wa nyumbani wa 3-2 dhidi ya Arsenal,Na pia Oktoba 4, alifunga goli katika ushindi wa 1-0 dhidi ya MOL Vidi katika hatua ya makundi katika UEFA Europa League.Mwezi mmoja baadaye, alifunga magoli mawili kusaidia kupata ushindi dhidi ya Crystal Palace kwa magoli 3-1 katika mechi ya ligi.
 
===Atletico Madrid===
Mnamo tarehe [[27 Januari]] [[2019]], Morata alirudi hispania katika [[klabu]] ya Atletico Madrid akijiunga na klabu kwa mkataba wa mkopo wa miezi 18.Alicheza katika ligi hiyo kwa mara ya kwanza mnamo Februari 3, katika mechi waliyokupoteza kwa kufungwa 0-1 mbali dhidi ya Real Betis.Alifunga goli lake la kwanza tarehe [[24 Februari]], katika ushindi wa nyumbani wa magoli 2-0 dhidi ya Villarreal.
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}