Vita vya Kagera : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
; vita ya kagera; |
d Masahihisho aliyefanya Kbij zepha (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
||
Mstari 1:
{{History of Tanzania}}
'''Vita
Vita hivyo vilihusu kugombania ardhi ya [[mkoa wa Kagera]] kati ya nchi ya Tanzania na Uganda.
Katika vita hivyo Tanzania, ikiongozwa na [[rais]] [[Julius Nyerere]] iliibuka kidedea kwa kuwapiga vema [[jeshi|majeshi]] ya [[gaidi]] [[Idd Amini]] Dadah yaliyoungwa [[mkono]] wa [[Libya]] ya [[Muammar al-Gaddafi]] na pia [[Palestina]] ya [[Yasser Arafat]].
NB.Mwanzilishi wa vita hivyo alikuwa ni Iddi Amini Dadah alianzisha vita hivyo kwa kusudi la ▼
==Historia==
▲
Nyerere aliwaongoza vema wanajeshi 100,000 wa Tanzania akisema, "mchokozi Iddi Amini Dadah ametuchokoza; uwezo wa kumpiga tunao, sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunayo, hivyo tumeamua kupambana naye". Aliungwa mkono na [[Msumbiji]] na [[wanaharakati]] wa Uganda, akiwemo [[Yoweri Museveni]].
Katika vita hiyo Iddi Amini Dadah, baada ya kushambuliwa, alikimbilia nchini Libya, halafu [[Saudi Arabia]] hadi [[mauti]] yalipompata miaka ya baadaye.
==Matokeo==
Nchini Uganda ikawa ndiyo mwanzo wa [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]].
Tanzania, iliyolaumiwa na [[Organization of African Unity]] kama kwamba ndiyo mvamizi, ililazimika kugharimia peke yake vita na hali ya [[usalama]] nchini Uganda baada ya [[ushindi]]. Jambo hilo lilizidi kudidimiza nchi katika [[ufukara]] na kufelisha mipango yake ya [[maendeleo]]. Tanzania ilimaliza kutoka katika hali hiyo mwaka [[2007]] tu, Uganda ilipolipa [[Deni|madeni]] yake.
==Tanbihi==
{{reflist}}
==Marejeo==
*{{cite web|last1 = Mambo|first1 = Andrew|last2 = Julian|first2 = Schofield|date = 2007|url = http://findarticles.com/p/articles/mi_qa3719/is_200712/ai_n24394498|title = Military Diversion in the 1978 Uganda-Tanzania War|journal = Journal of Political and Military Sociology|archive-url = https://web.archive.org/web/20111108065938/http://findarticles.com/p/articles/mi_qa3719/is_200712/ai_n24394498/|archive-date = 8 November 2011|deadurl = yes|df = dmy-all}}
{{Tanzania topics}}
{{Hoja Kuhusu Uganda}}
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Vita]]
[[Jamii:Mkoa wa Kagera]]
[[Jamii:Historia ya Tanzania]]
[[Jamii:Historia ya Uganda]]
[[Jamii:1978]]
[[Jamii:1979]]
|