Mansa Musa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[image:Catalan Atlas BNF Sheet 6 Mansa Musa.jpg|thumb|Musa akishika [[sarafu]] ya dhahabu katika [[Catalan Atlas]] [[1375]]]]
'''Mansa Musa''' ([[1280]]-[[1337]]) alikuwa [[mtawala]] [[tajiri]] wa [[Mali]] ya [[Magharibi]].
 
[[Ufalme wa Mali]] ulikuwa na eneo la zamani la Ufalme wa [[Ghana]] [[kusini]] mwa [[Mauritania]] na [[Melle]] (Mali)]] na maeneo yaliyo karibu.
 
[[Jina]] lake pia linaonekana kama [[Kankou Musa]], [[Kankan Musa]], na [[Kanku Musa]]. "Kankou" ni jina maarufu la kike. Musa alikuwa na majina mengi, yakiwa ni pamoja na [["Emir wa Melle"]], [["Bwana wa Mines ya Wangara"]], [["Mshindi wa Ghanata]]".
 
[[Mansa Musa]] aliishinda [[miji]] 24. Wakati wa [[utawala]] wake ([[1312]]–[[1337]]), [[Mali]] iliweza kuwa na [[uzalishaji]] mkubwa wa [[dhahabu]] [[duniani]]; ilikuwa wakati ule ambao kulikuwa na mahitaji makubwa ya [[bidhaa]] hiyo. Alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi katika [[historia]]; [[gazeti]] la [[Time]] liliripoti: Hakika hakuna njia ya kutathmini kwa usahihi utajiri wake.
{{mbegu-mtu}}
{{BD|1280|1337}}