Tofauti kati ya marekesbisho "Siri"

143 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
d
Masahihisho aliyefanya Kbij zepha (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
(SIRI)
d (Masahihisho aliyefanya Kbij zepha (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
 
[[File:If You Talk Too Much This Man May Die mirror.jpg|right|thumb|Pengine siri ni suala la [[uhai]] au [[kifo]], kama wakati wa [[Vita vikuu vya pili]].]]
'''Siri''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[jambo]] lolote ambalo [[mtu]] analiona haifai kumshirikisha mtu yeyote yule, haijalishi ni nani.
 
Katika [[maisha]] ya [[jamii]], siri ni muhimu, kiasi kwamba ni [[wajibu]] kwa baadhi ya [[kazi]], kama vile [[ushauri]], [[uganga]], [[huduma]] za [[benki]] n.k.
 
Siri kali zaidi, katika [[Kanisa Katoliki]], ni ile ya [[padri]] kuhusu maungamo aliyopokea katika [[sakramenti]] ya [[kitubio)]].
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Mawasiliano]]