Bahari ya Kara : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Kara Sea map.png|thumb|Bahari ya Kara]]
'''Bahari ya Kara''' ni tawi la [[Bahari ya Aktiki]], [[kaskazini]] kwa [[Urusi]]. Eneo lake la [[km²]] 893.400
Bahari ya Kara inapokea maji ya mito mikubwa ya [[Yenisei]] na [[Ob]].
Kutokana na [[tabianchi]] baridi uso wa bahari hii huganda ukifunikwa na [[barafu]] kwa takriban miezi 9 kila mwaka.
{{fupi}}
|