Mawasiliano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 142:
 
Mawasiliano hufanyika katika ngazi tofauti (hata kwa tendo moja), katika njia mbalimbali, na kwa viumbe wengi, na vilevile kwa mashine fulani. Baadhi ya taaluma za utafiti , ikiwa siyo zote, hutenga sehemu ya mafunzo yake kwa mawasiliano, hivyo basi wakati wa kuzungumza kuhusu mawasiliano, ni muhimu sana kuwa na uhakika kuhusu nyanja ya mawasiliano inayozungumziwa. Ufafanuzi wa mawasiliano hutofautiana sana, baadhi yake ukitambua kwamba wanyama wanaweza kuwasiliana na wenzao na binadamu pia, na baadhi ni finyu zaidi, ukihusisha binadamu katika mitagusano ya kibinadamu iliyo na maana.
 
==Umuhimu wa mawasiliano==
Hakuna linaloweza kufanikiwa pasipo mawasiliano. Mawasiliano ni kati ya nafsi na nafsi – hivyo nafsi zisipokuwa na mawasiliano ina maana miili inayobeba nafsi hizo haiwezi kushirikiana kwa lolote. Kitu kimoja ambacho ni kikwazo cha mawasiliano ni woga. Ndio unaokufanya usiwasiliane na fulani. Woga huo ndio unaokufanya usiwe na ushirika na fulani. Woga huo ndio unaosababisha usipate usaidizi toka popote pale.
 
== Tanbihi ==