Kazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Mwangi2017 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 26:
Pamoja na hayo, [[Yesu]] alikubali kufanya kazi kwa [[mikono]] yake kama [[fundi]] (labda [[seremala]]) kwa sehemu kubwa kabisa ya maisha yake, alipoishi na [[familia]] yake au walau [[mama]] yake [[Kijiji|kijijini]] [[Nazareti]] ([[Mk]] 6:3).
 
[[Mtume Paulo]] alipinga kwa nguvu [[uzembe]] wa waliodai kazi haihitajiki tena kwa sababu eti, [[ufalme wa Mungu]] umefika. Aliandika, "Asiyetaka kufanya kazi, asile chakula" ([[2Thes]] 3:10). <ref name="www.biblegateway.com">{{cite web|url=https://www.biblegateway.com/verse/en/2%20Thessalonians%203%3A10|title=Aya kuhusu kazi kwa Biblia}}</ref> Mwenyewe, pamoja na kuhubiri [[Injili]] alikuwa akiendelea na kazi yake ya [[Ushonaji|kushona]] [[hema|mahema]] ili kupata mahitaji yake bila kulemea wengine.
 
== Marejeo ==