Bahari ya Barents : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Bahari ya Barents''' (Kinorwei: Barentshavet; Kirusi: Баренцево море ''Barentsevo More'') ni [[Bahari ya pembeni|tawi]] la [[Bahari ya Aktiki]], na iko [[kaskazini]] kwa [[Urusi]], [[Norwei]] na [[funguvisiwa]] la [[Svalbard]] pamoja na [[Kisiwa cha Dubu]]. [[Novaya Zemlya|Visiwa vya Novaya Zemlya]] vinaitenganisha na [[Bahari ya Kara]].
 
Eneo lake ni la [[km²]] 1,424,000. Jina limetokana na baharia Mholanzi Willem BarentszBarents.
 
Sehemu hii ya bahari haina kina kirefu, kwa wastani ni mita 230 pekee. Kiuchumi ni muhimu kwa uvuvi na uchumbaji wa [[Gesi asilia|gesi]] na [[mafuta ya petroli]].