Metorolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 95 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q25261 (translate me)
Mstari 6:
 
== Vifaa vya metorolojia ==
Metorolojia imeanza kutokea kadri wataalamu walianza kuchukua vipimo halisi vya tabia za angahewa na kuvilinganisha. Mweleko huu ulileta kubuniwa kwa vifaa vya upimaji maalumu vinavyounganishwa kwenye [[vituo vya metorolojia]]. Data kutoka vifaa hivi vinatunzwa kwa muda mrefu, vinaruhusu kutabiri hali ya hewa na kuangalia mabadiliko ya tabianchi.
* vyombo vya kupima kiasi cha [[usimbishaji]] hasa [[mvua]] vilivyosanifishwa na serikali vinajulikana kutoka [[Korea]] mnamo [[1441]]; vilisambazwa kama msaada wa kukadiria kodi za wakulima. Hadi leo kiasi cha mvua kinachonyesha kwa mwezi au mwaka ni kipimo muhimu kwa kupanga shughuli za kilimo.