Kipaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Kipaji''' (kutoka [[kitenzi]] "ku-pa"; kwa kuwa [[watu]] wa [[dini]] huamini kipaji mtu hupewa na [[Mungu]] katika [[uumbaji]]) ni sehemu ya [[uwezo]] wa kufanya jambo fulani kwa ngazi ya juu. Kipaji kinaweza kuwa cha [[Mwili|kimwili]] au cha [[Akili|kiakili]].
 
Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya [[kazi]] fulani lakini kinaweza kikandelezwa au kutoendelezwa. Kipaji hakirithishwi wala huwezi kujifunza sehemu yoyote.
 
Ni uwezo, [[ujuzi]] ulioendelezwa, [[maarifa]] au [[uhodari]] na mtazamo alionao mtu.
Mstari 7:
Asili ya ndani ya kipaji ni kuonyesha [[ujuzi]] na [[mafanikio]], ambayo huwakilisha [[maarifa]] au [[uwezo]] unaopatikana kupitia kujifunza.
 
"Kipaji" huweza kuishi ndani ya mtu bila kupotea. {{Kadiri kinavyozidi kutumiwa ndivyo huzidi kuimarika}}.
 
Mfano wa vipaji ni;: kuchora, kutambua na kuvumbua vitu kwa haraka. N.k
{{mbegu}}
"Kipaji" huweza kuishi ndani ya mtu bila kupotea. {{Kadiri kinavyozidi kutumiwa ndivyo huzidi kuimarika}}
Watu wa dini huamini {{kipaji}} mtu hupewa na Mungu katika uhumbaji hivyo huwezi kujifunza sehemu yoyote.
Kipaji hakirisiwi.
Kipaji wingi ni vipaji
Mfano wa vipaji ni; kuchora, kutambua na kuvumbua vitu kwa haraka. N.k
 
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Saikolojia]]