Boya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hamburg Hafen 53 (RaBoe).jpg|300px|thumb|Boya ya kijani kwenye [[mto Elbe]] (Ujerumani) inaonyesha mpaka wa njia ya maji]]
[[Picha:Le Port de Toulon.jpg|300px|thumb|Boya la kufunga boti kwenye bandari ya Toulon, Ufaransa]]
'''Boya''' ni [[kifaa]] kinachowekwa katika [[maji]] ya [[bahari]], [[ziwa]] au [[mto]] kwa kusudimakusudi mbalimbali.
 
Boya ama ni [[gimba]] lenye [[utupu]] ndani yake ili liweze kuelea kwenye maji, auama ni gimba linalotengenezwa kwa [[mata]] isiyozama kama [[plastiki]] au [[ubao]] mwepesi.
 
[[Kazi]] za boya ni mara nyingi ni kuwa [[alama]] ya [[njia]] kwenye maji; boya zinaweza kudokeza mpaka ambakoambapo [[boti]] au meli haitakiwi kupita tena, au mwisho wa eneo linaloruhusiwa kwa [[watu]] wanaoogelea.
 
Boya inayohitaji kukaa mahali pamoja hufungwa kwenye [[tako la bahari]]; kwa kawaida huwa na nyororo[[mnyororo]] iliyofungwauliofungwa kwenykwenye [[jiwe]] kubwa au bloku[[tofali]] yala [[saruji]] inayozamishwa mahali panapotakiwa.
 
[[Bandari|Bandarini]] kuna boya kubwa zinazodokeza mahali pa kutia [[nanga]]. [[Boti]] ndogodogo zinawezalinaweza kufungwa moja kwa moja kwenye boya bila kutikutia nanga.
 
Boya zinazooyeshazinazoonyesha njia za maji (sehemu ambako [[kina]] cha maji yanatosha kwa [[meli]]) mara nyingi huwa na [[taa]] zikihitajizinazohitaji [[huduma]] ya kubadilisha beteri[[betri]] zaozake.
 
Boya za pekee huwa na vifaa vya [[upimaji;]] ambavyo vinaweza kutumiwa kama [[kituo cha metorolojia]],; vingine hupima hali ya bahari vikielea bila kufungwa na kutuma [[data]] kwa njia ya [[redio]].
 
[[Boyaokozi]] si boya halisi bali kifaa cha kujiokoa wakati boti, meli au feri inazama na watu wanahitaji msaada wa kutozama.
 
[[Boyaokozi]] si boya halisi, bali kifaa cha kujiokoa wakati boti, meli au [[feri]] inazama na watu wanahitaji msaada wa kutozama.
{{tech-stub}}
[[jamii:Usafiri wa maji]]
[[Jamii:Vifaa]]