Boya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Hamburg Hafen 53 (RaBoe).jpg|300px|thumb|Boya yala [[kijani]] kwenye [[mto Elbe]] ([[Ujerumani]])l inaonyesha mpaka wa njia ya maji.]]
[[Picha:Le Port de Toulon.jpg|300px|thumb|Boya la kufunga boti kwenye bandari ya [[Toulon]], [[Ufaransa]].]]
'''Boya''' ni [[kifaa]] kinachowekwa katika [[maji]] ya [[bahari]], [[ziwa]] au [[mto]] kwa makusudi mbalimbali.
 
Boya ama ni [[gimba]] lenye [[utupu]] ndani yake ili liweze kuelea kwenye maji, ama ni gimba linalotengenezwa kwa [[mata]] isiyozama kama [[plastiki]] au [[ubao]] mwepesi.
 
[[Kazi]] za boya mara nyingi ni kuwa [[alama]] ya [[njia]] kwenye maji; boyamaboya zinawezayanaweza kudokeza mpaka ambapo [[boti]] au meli haitakiwi kupita tena, au mwisho wa eneo linaloruhusiwa kwa [[watu]] wanaoogelea.
 
Boya inayohitajilinalohitaji kukaa mahali pamoja hufungwa kwenye [[tako la bahari]]; kwa kawaida huwa na [[mnyororo]] uliofungwa kwenye [[jiwe]] kubwa au [[tofali]] la [[saruji]] inayozamishwa mahali panapotakiwa.
 
[[Bandari|Bandarini]] kuna boyamaboya kubwamakubwa zinazodokezayanayodokeza mahali pa kutia [[nanga]]. [[Boti]] dogo linaweza kufungwa moja kwa moja kwenye boya bila kutia nanga.
 
BoyaMaboya zinazoonyeshayanayoonyesha njia za maji (sehemu ambako [[kina]] cha maji yanatosha kwa [[meli]]) mara nyingi huwa na [[taa]] zinazohitaji [[huduma]] ya kubadilisha [[betri]] zake.
 
BoyaMaboya zaya pekee huwa na vifaa vya [[upimaji]] ambavyo vinaweza kutumiwa kama [[kituo cha metorolojia]]; vingine hupima hali ya bahari vikielea bila kufungwa na kutuma [[data]] kwa njia ya [[redio]].
 
[[Boyaokozi]] si boya halisi, bali kifaa cha kujiokoa wakati boti, meli au [[feri]] inazama na watu wanahitaji msaada wa kutozama.