Galileo Galilei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Galileo Galilei" ([Kuhariri=Ruhusa kwa wakabidhi tu] (bila mwisho) [Kuhamisha=Ruhusa kwa wakabidhi tu] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Galileo Galilei 3.jpg|thumb|right|Galileo Galilei alivyochorwa.]]
 
'''Galileo Galilei''' ([[5 Februari]] [[1564]] – [[8 Januari]] [[1642]]) alikuwa [[mtaalamu]] wa [[fizikia]], [[hisabati]] na [[astronomia]] kutoka nchini [[Italia]].
 
Line 13 ⟶ 14:
 
== Astronomia na darubini ==
[[Picha:Galileo-demontrates-in-Venice.jpg|300px|thumb|Galileo alivyoonyesha miezi ya [[Zohali]] kwa viongozi wa [[Venisi]]]]
Alihamia chuo kikuu cha [[Padua]] alipofanya kazi kati ya 1592 na [[1610]]. Alisikia kuhusu [[chombo]] kipya cha [[darubini]] (kionambali) kilichobuniwa na [[Mholanzi]] [[Hans Lipperhey]] akaiiga na kujenga ya kwake. Alikuwa mtu wa kwanza aliyetumia chombo hicho kwa kutazama [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]], [[sayari]] na [[nyota]]. Aliona [[milima]] kwenye mwezi akawa mtu wa kwanza aliyeona miezi ya sayari [[Mshtarii]].