Galileo Galilei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
 
== Astronomia na darubini ==
[[Picha:Galileo-demontrates-in-Venice.jpg|300px|thumb|Galileo alivyoonyesha miezi ya [[ZohaliMshtarii]] kwa viongozi wa [[Venisi]]]]
Alihamia chuo kikuu cha [[Padua]] alipofanya kazi kati ya 1592 na [[1610]]. Alisikia kuhusu [[chombo]] kipya cha [[darubini]] (kionambali) kilichobuniwa na [[Mholanzi]] [[Hans Lipperhey]] akaiiga na kujenga ya kwake. Alikuwa mtu wa kwanza aliyetumia chombo hicho kwa kutazama [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]], [[sayari]] na [[nyota]]. Aliona [[milima]] kwenye mwezi akawa mtu wa kwanza aliyeona miezi ya sayari [[Mshtarii]].
 
Vilevile aliweza kuangalia sayari [[Zuhura]] (pia Ng'andu, lat. Venus) jinsi ilivyoonyesha awamu sawa na mweziMwezi. zilizoonekanaZilionekana kama [[mwezi mwandamo]], [[nusu mwezi]] au [[mwezi mpevu]]. Aliona pia [[madoa ya jua]].
 
Mwaka [[1610]] [[mtawala]] wa [[Toscana]], [[Cosimo II]] kutoka [[nasaba]] ya [[Medici]], aliyewahi kuwa [[mwanafunzi]] wake, alimkaribisha kuwa mwanahisabati mkuu na pia profesa huko Pisa.