Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
 
Ki[[kemia]] masi ya Jua ni hasa [[hidrojeni]] (73%) na [[heli]] (25%). Kiasi kinachobaki ni [[elementi]] nzito zaidi, kama vile [[oksijeni]], [[kaboni]], [[chuma]] na [[nyingine]]. Hata kama hizi elementi nzito ni [[asilimia]] ndogo tu za masi ya Jua, bado zinalingana na mara 5,000 masi ya dunia kutokana na [[ukubwa]] wa Jua.
 
==Muundo wa Jua==
Muundo wa Jua hufanywa na kanda tatu:
* Kiini ambako atomi za hidrojeni zinayeyungana kuwa heli katika hali ya shinikizo na joto kuu;
* Ukanda wa myuko (''convection zone'') ambako joto la kiini linaendesha mizunguko ya plazma inayopeleka kiasi cha noshati kwenye angahewa ya Jua
* Ukanda wa angahewa ya Jua na sehemu kubwa huitwa tabakanuru (''photosphere'') ambayo ni asili ya nuru na joto tunazopokea duniani. Sehemu ya nje ni "korona" inayoonekana tu wakati wa kupatwa kwa Jua.
 
==Historia ya Jua==