Tofauti kati ya marekesbisho "Yosia"

3 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
==Familia==
Mwana wa mfalme [[mfalme Amon]] na [[Jedidah]]<ref name=je>[http://www.jewishencyclopedia.com/articles/8926-josiah "Josiah", ''Jewish Encyclopedia'']</ref>, Yosia alirithi utawala akiwa [[mtoto]] wa miaka 8 tu, kutokana na [[uuaji]] wa [[baba]] yake, akatawala miaka 31,<ref>[[2Fal]] 22:1; 2Fal 21:23-26; 2Fal 21:26</ref> kuanzia 641/[[640 KK]] hadi [[610 KK]]/609 KK.<ref>Edwin Thiele, ''[[The Mysterious Numbers of the Hebrew Kings]]'', (1st ed.; New York: Macmillan, 1951; 2d ed.; Grand Rapids: Eerdmans, 1965; 3rd ed.; Grand Rapids: Zondervan/Kregel, 1983). ISBN 0-8254-3825-X, 9780825438257, 217.</ref>
 
Anatajwa pia katika [[Injili ya Mathayo]] kama [[babu]] wa [[Yesu]].
==Urekebisho==
[[File:Close-Up.jpg|thumb|right|220px|Ua wa ndani wa [[Hekalu la Solomoni]].]]
Kwa miaka 13 tu ([[622 K.K.|622]] - [[609 K.K.]]) [[Yosia]] alifanya urekebisho wa kidini kuanzia [[Yerusalemu]] hadi kwa mabaki ya [[Waisraeli]] wa kaskazini, akizuia wote wasiabudu miungu mingine wala wasimtolee Mungu [[sadaka]] nje ya [[hekalu la Yerusalemu]].
 
Kipindi hicho [[mji mkuu]] wa [[Ashuru]] uliangamizwa alivyotabiri kwa [[furaha]] [[nabii Nahumu]] ([[612 KK|612]] hivi K.K.).
*Hertz J.H. (1936) The Pentateuch and Haftoras. Deuteronomy. Oxford University Press, London.
*[[Richard Elliott Friedman|Friedman, R.]] (1987) Who wrote the Bible? New York: Summit Books
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.jewishencyclopedia.com/view.jsp?artid=564&letter=J&search=Josiah Jewish Encyclopedia: Josiah]