Yosia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:josiah.gif|thumb|right|Mfalme Yosia katika ibada hekaluni]]
'''Yosia''', (kwa [[Kiebrania]] יֹאשִׁיָּהוּ, Yoshiyyáhu|Yôšiyyāhû, maana yake "aliyeponywa na [[YHWH]]" au "aliyetegemezwa na [[Yahweh|Yah]]"<ref>[http://dictionary.reference.com/browse/josiah Josiah definition] - Bible Dictionary - Dictionary.com. Retrieved 25 July 2011.</ref><ref>{{cite book
|title=Longman pronunciation dictionary
|first=John C.
Mstari 10:
|page=386
}} entry "Josiah"
</ref>; kwa [[Kigiriki]] Ιωσιας; kwa [[Kilatini]] Josias; ([[649 KK]] – [[609 KK]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[ufalme wa Yuda|Yuda]] ([[641 KK]] – 609 KK) aliyejitahidi kufanya [[urekebisho]] upande wa [[dini]] ya [[Israeli]] ili kufuata zaidi [[Torati]] iliyoelekea kukamilika wakati huo.
 
Hasa alitumia nguvu zake zote kutekeleza agizo la gombo lililopatikana mwaka [[622 KK]] likidai [[sadaka]] zote zitolewe katika [[hekalu]] la [[Yerusalemu]] tu, kadiri ya msimamo wa [[Kumbukumbu la Torati]]: "Mungu mmoja, hekalu moja".
Mstari 31:
==Urekebisho==
[[File:Close-Up.jpg|thumb|right|220px|Ua wa ndani wa [[Hekalu la Solomoni]].]]
Kwa miaka 13 tu ([[622 K.K.|622]] - [[609 K.K.]]) Yosia alifanya urekebisho wa kidini kuanzia [[Yerusalemu]] hadi kwa mabaki ya [[Waisraeli]] wa kaskazini, akizuia wote wasiabudu [[miungu]] mingine wala wasimtolee Mungu [[sadaka]] nje ya [[hekalu la Yerusalemu]].
 
Kipindi hicho [[mji mkuu]] wa [[Ashuru]] uliangamizwa alivyotabiri kwa [[furaha]] [[nabii Nahumu]] ([[612 KK|612]] hivi K.K.).