Majimbo ya Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Majimbo ya Ujerumani''' ni sehemu zinazofanyazinazounda [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]]. Tangu mwaka 1990 ambako maeneo ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] (1949 hadi 1990, ilijulikana pia kama Ujerumani wa Mashariki) yalijiunga na shirikisho kuna majimbo 16. Kila jimbo lina [[katiba]] yake, [[serikali]], [[bunge]] na [[mahakama]] kulingana na [[mgawanyo wa madaraka]].
 
Tangu [[mwaka]] [[1990]] ambapo maeneo ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] ([[1949]] hadi 1990, ilijulikana pia kama Ujerumani wa Mashariki) yalijiunga na [[shirikisho]] kuna majimbo 16.
Bunge za majimbo huchagua wawakilishi katika Bundesrat (Halmashauri ya Jamhuri ya Shirikisho) ambayo ni kitengo cha bunge la kitaifa pamoja na Bundestag.
 
Majimbo hujitawala katika mambo mbalimbali kulingana na [[katiba]] ya Ujerumani.
 
Kila [[jimbo]] lina [[katiba]] yake, [[serikali]], [[bunge]] na [[mahakama]] kulingana na [[mgawanyo wa madaraka]].
 
BungeMabunge zaya majimbo huchagua wawakilishi katika Bundesrat (Halmashauri ya Jamhuri ya Shirikisho) ambayo ni kitengo cha bunge la kitaifa pamoja na Bundestag.
 
== Majimbo ==
Line 136 ⟶ 140:
==Viungo vya nje==
{{commonscat|States of Germany}}
{{Kigezo:Majimbo ya Ujerumani}}
{{mbegu-jio-Ujerumani}}
 
{{Kigezo:Majimbo ya Ujerumani}}
 
[[Jamii:Majimbo ya Ujerumani|!]]
[[Jamii:Vijisehemu nchi kwa nchi|Ujerumani]]