Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 53:
 
==Sayari nje ya mfumo wa jua letu==
Wataalamu wa astronomia wamegundua [[sayari za -nje]] ([[ing.]] ''exoplanets'') yaani sayari zilizozilizoko nje ya mfumo wa juaJua letu zinazozunguka nyota mbalimbali. Kutokana na umbali mkubwa na matatizo ya utazamaji kwa muda mrefu hakukuwa na uhakika kama nyota kuwa na sayari ni jambo la kawaida angani au kama sayari ni chache tu. Hadi Aprili 2019 kuwepo kwa sayari-nje 4,048 kumethibitishwa na kati ya hizi mifumo ya sayari 659 imetambuliwa ambako kuna zaidi ya sayari moja.<ref>[http://exoplanet.eu/catalog Kamusi ya sayari za nje kwenye intaneti, ilizatamiwa 01 Mei 2018]</ref>
 
Nyingi kati ya hizo zilikuwa na ukubwa kufanana na Mshtarii au kubwa zaidi. Lakini sayari ndogo zaidi zimetambuliwa pia. <ref name="Encyclopaedia">{{cite web |title=Interactive Extra-solar Planets Catalog |work=[[The Extrasolar Planets Encyclopaedia]] |url=http://exoplanet.eu/catalog.php |last=Schneider |first=Jean |date=10 Septemba 2011 |accessdate=2018-05-01}}</ref>