Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 53:
 
==Sayari nje ya mfumo wa jua letu==
Wataalamu wa astronomia wamegundua [[sayari-nje]] ([[ing.]] ''exoplanets'') yaani sayari zilizoko nje ya mfumo wa Jua letu zinazozunguka nyota mbalimbali. Kutokana na umbali mkubwa na matatizo ya utazamaji kwa muda mrefu hakukuwa na uhakika kama nyota kuwa na sayari ni jambo la kawaida angani au kama sayari ni chache tu. Hadi Aprili 2019 kuwepo kwa sayari-nje 4,048 kumethibitishwa na kati ya hizi mifumo ya sayari 659 imetambuliwa ambako kuna zaidi ya sayari moja.<ref>[http://exoplanet.eu/catalog Kamusi ya sayari za nje kwenye intaneti, ilizatamiwa 01 Mei 2018]</ref>
 
Tangu 1995 kuwepo kwa sayari-nje kuliweza kukadiriwa kutokana na mabadiliko ya mwendo wa nyota kadhaa yaliyoweza kuelezwa tu kutokana na masi ya karibu inayobadilisha mwendo wa kawaida. Baada ya kuboreshwa kwa vifaa vipimo vya mabadiliko ya mng'aro vimeonyesha mipito ya sayari, maana wakati wa kupita kwa sayari kati ya nyota fulani na mtazamaji duniani sayari inafunika sehemu ya nyota yake, hivyo mng'aro wake unapungua. Kiasi cha mabadiliko ya mng'aro kinaruhusu kukadiria umbali wa sayari na nyota yake na ukubwa wake. Sayari-nje nyingi zimetambuliwa kwa kutumia mbinu huu. Kutokana na maendeleo ya darubini imewezekana tangu mwaka 2004 kutambua sayari-nje kadhaa moja kwa moja lakini idadi yao hadi sasa ni ndogo wa sababu ugunduzi ni vigumu.
 
Hadi Aprili 2019 kuwepo kwa sayari-nje 4,048 kumethibitishwa na kati ya hizi mifumo ya sayari 659 imetambuliwa ambako kuna zaidi ya sayari moja.<ref>[http://exoplanet.eu/catalog Kamusi ya sayari za nje kwenye intaneti, ilizatamiwa 01 Mei 2018]</ref>
 
Nyingi kati ya hizo zilikuwa na ukubwa kufanana na Mshtarii au kubwa zaidi. Lakini sayari ndogo zaidi zimetambuliwa pia. <ref name="Encyclopaedia">{{cite web |title=Interactive Extra-solar Planets Catalog |work=[[The Extrasolar Planets Encyclopaedia]] |url=http://exoplanet.eu/catalog.php |last=Schneider |first=Jean |date=10 Septemba 2011 |accessdate=2018-05-01}}</ref>