Sayari-nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Sayari ya nje hadi Sayari-nje
No edit summary
Mstari 4:
Mnamo mwaka 2017 zaidi ya sayari-nje 3000 zinazozunguka [[nyota]] mbalimbali zilitambuliwa tayari. <ref>{{cite web|url=http://exoplanetarchive.ipac.caltech.edu/cgi-bin/ExoTables/nph-exotbls?dataset=planets|title=Exoplanet Archive Planet Counts|publisher=}}</ref><ref name="kepler1700">{{cite web |last1=Johnson |first1=Michele |last2=Harrington |first2=J.D. |title=NASA's Kepler Mission Announces a Planet Bonanza, 715 New Worlds |url=http://www.nasa.gov/ames/kepler/nasas-kepler-mission-announces-a-planet-bonanza/ |date=February 26, 2014 |work=[[NASA]] |accessdate=February 26, 2014 }}</ref><ref>{{cite web|url=http://phl.upr.edu/projects/habitable-exoplanets-catalog|title=The Habitable Exoplanets Catalog - Planetary Habitability Laboratory @ UPR Arecibo|publisher=}}</ref>
 
==Wasiwasi kuhusu sayari-nje==
Kwa muda mrefu sayari zilizopo nje ya mfumo wa Jua letu hazikujulikana. Wataalamu walitofautiana kama magimba haya yapo au la. [[Giordano Bruno]] aliwaza mnamo karne ya 16 ya kwamba kuna dunia nyingi katika anga sawa na Dunia yetu.<ref>Eli Maor (2013), uk 198</ref> [[Isaac Newton]] alifikiri pia ya kwamba sayari zinaweza kuwepo nje ya mfumo wetu. Lakini haikuwezakana kuthibitisha nadharia hizi. Hadi [[miaka ya 1990]] [[idadi]] kubwa ya [[wanaastronomia]] bado walihangaika kama sayari-nje ziko au la.
 
Matatizo makuu ya kuthibitisha kuwepo kwa sayari-nje ni:
Hadi [[miaka ya 1990]] [[idadi]] kubwa ya [[wanaastronomia]] bado walihangaika kama sayari-nje ziko au la. Mwaka [[1992]] watafiti [[Aleksander Wolszczan]] na [[Dale Frail]] waliofanya [[kazi]] ya [[astronomia ya redio]] walitangaza kugunduliwa kwa sayari [[mbili]] zinazozunguka [[nyota tutusi]] (''pulsar'') [[PSR 1257+12]].<ref name="Wolszczan">{{Cite journal | last1 = Wolszczan | first1 = A. |bibcode=1992Natur.355..145W| last2 = Frail | first2 = D. A. | doi = 10.1038/355145a0 | title = A planetary system around the millisecond pulsar PSR1257 + 12 | journal = Nature | volume = 355 | issue = 6356 | pages = 145–147 | year = 1992 | pmid = | pmc = }}</ref> Miaka michache baadaye taarifa hii ilithibitishwa na wagunduzi wengine.
*sayari ni ndogo sana zikilinganishwa na nyota
*sayari haiwaki yaani haina nuru yenyewe, isipokuwa inaweza kuakisisha nuru ya nyota
 
==Ugunduzi wa sayari-nje za kwanza==
Hadi [[miaka ya 1990]] [[idadi]] kubwa ya [[wanaastronomia]] bado walihangaika kama sayari-nje ziko au la. Mwaka [[1992]] watafiti [[Aleksander Wolszczan]] na [[Dale Frail]] waliofanya [[kazi]] ya [[astronomia ya redio]] walitangaza kugunduliwa kwa sayari [[mbili]] zinazozunguka [[nyota tutusi]] (''pulsar'') [[PSR 1257+12]].<ref name="Wolszczan">{{Cite journal | last1 = Wolszczan | first1 = A. |bibcode=1992Natur.355..145W| last2 = Frail | first2 = D. A. | doi = 10.1038/355145a0 | title = A planetary system around the millisecond pulsar PSR1257 + 12 | journal = Nature | volume = 355 | issue = 6356 | pages = 145–147 | year = 1992 | pmid = | pmc = }}</ref> Sayari hizi hazikutazamiwa lakini kuwepo kwao kulikadiriwa kwa saabu watafiti walipima mabadiliko ya mwendo wa nyota yaliyoweza kuelezwa tu kutokana na masi ya karibu inayobadilisha mwendo wa kawaida. Miaka michache baadaye taarifa hii ilithibitishwa na wagunduzi wengine.
 
Wataalamu wa astronomia waliendelea kugundua sayari-nje (ing. exoplanets) zinazozunguka nyota mbalimbali. Kutokana na umbali mkubwa na matatizo ya utazamaji hakukuwa na uhakika kwa muda mrefu kama sayari-nje ni jambo la kawaida angani au kama sayari ni chache tu.
 
==Mbinu wa kutambua mpito wa sayari==
Baada ya kuboreshwa kwa vifaa vipimo vya mabadiliko ya mng'aro vimeonyesha mipito ya sayari, maana wakati wa kupita kwa sayari kati ya nyota fulani na mtazamaji duniani, sayari inafunika sehemu ya nyota yake na hivyo mng'aro wake unapungua. Kiasi cha mabadiliko ya mng'aro kinaruhusu kukadiria umbali wa sayari na nyota yake na ukubwa wake. Sayari-nje nyingi zimetambuliwa kwa kutumia mbinu huu.
 
Kutokana na maendeleo ya darubini imewezekana tangu mwaka 2004 kutambua sayari-nje kadhaa moja kwa moja lakini idadi yao hadi sasa ni ndogo wa sababu ugunduzi ni vigumu.
 
Nyingi kati ya hizo zilikuwa na ukubwa kufanana na Mshtarii au kubwa zaidi. Mabadiliko ya mng'aro wakati wa mpito wa sayari mbele ya nyota ni ndogo sana hivyo si rahisi kuthibitisha mpito wa sayari ndogo inayosababisha mabadiliko madogo mno. Hata hivyo sayari ndogo zaidi kwa ukubwa kama Dunia zimetambuliwa pia.
 
[[File:Size of Kepler Planet Candidates.jpg|thumb|300px|right|Sizes of ''Kepler'' Planet Candidates – based on 2,740 candidates orbiting 2,036 stars {{As of|2013|11|04|lc=on}} (NASA).]]
 
Hadi [[tarehe]] [[1 Aprili]] [[2017]] jumla ya sayari-nje 3,607 zimeorodheshwa katika "Extrasolar Planets Encyclopaedia"<ref>[http://exoplanet.eu/catalog/ Orodha ya Exoplanets], inataja " 3608 planets / 2702 planetary systems / 610 multiple planet systems", iliangaliwa Aprili 2017</ref>
Kuwepo kwa sayari-nje inayozunguka nyota ya kawaida kulithibitishwa mara ya kwanza mwaka [[1995]] na watafiti wa [[Geneva]] waliogundia sayari ya nyota [[51 Pegasi]]. Idadi iliongezeka hasa kutokana na matokeo ya utafiti wa [[Kepler (chomboanga)|chomboanga Kepler]] kilichoweza kuthibitisha kuwepo kwa mamia ya sayari-nje zenye ukubwa wa [[Neptun]] hadi [[Utaridi]]<ref>[https://www.nasa.gov/mission_pages/kepler/news/kepler-461-new-candidates.html NASA's Kepler Mission Discovers 461 New Planet Candidates], tovuti ya [[NASA]] ya Jan. 11, 2013, iliangaliwa Aprili 2017</ref>.
 
Siku hizi wataalamu wanaona idadi ya sayari ni kubwa sana. Maana mbinu wa kupima mpito wa sayari mbele ya nyota yake inaleta matokeo kwa sehemu ya nyota tu. Inatuonyesha matokeo kama bapa la mfumo wa nyota ([[ekliptiki]] yake) inalingana na mtazamo wetu kwa nyota husika; kama ekliptiki wa nyota imenama mno kulingana na mtazamo wetu, hatuwezi kuona mpito wa sayari kutoka Dunia hivyo hatuoni mabadiliko ya mng'aro.
Hadi [[tarehe]] [[1 Aprili]] [[2017]] jumla ya sayari-nje 3,607 zimeorodheshwa katika "Extrasolar Planets Encyclopaedia"<ref>[http://exoplanet.eu/catalog/ Orodha ya Exoplanets], inataja " 3608 planets / 2702 planetary systems / 610 multiple planet systems", iliangaliwa Aprili 2017</ref>
 
==Tanbihi==