Tofauti kati ya marekesbisho "Binadamu"

1,534 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
d
Reverted 1 edit by 2600:387:6:807:0:0:0:7F (talk) to last revision by 154.73.106.218. (TW)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d (Reverted 1 edit by 2600:387:6:807:0:0:0:7F (talk) to last revision by 154.73.106.218. (TW))
Tag: Undo
{{Uainishaji | rangi = pink
| jina = Binadamu
| picha = Akha cropped hires.JPG
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Homo sapiens sapiens
| domeni = [[Eukaryota]]
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| ngeli = [[Mamalia]] <small>(Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small>
| oda = [[Primates]] <small>(Wanyama wanaofanana kiasi na [[binadamu]])</small>
| familia_ya_juu = [[Hominoidea]] <small>(Wanyama kama binadamu)</small>
| familia = [[Hominidae]] <small>(Walio na mnasaba na binadamu)</small>
| nusufamilia = [[Homininae]] <small>(Wanaofanana sana na binadamu)</small>
| jenasi = ''[[Homo]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
| spishi = ''[[Homo sapiens|H. sapiens]]''
| bingwa_wa_spishi = Linnaeus, 1758
| nususpishi = ''[[Homo sapiens sapiens|H. s. sapiens]]''
}}
[[File:Homo-Stammbaum, Version Stringer-en.svg|420px|thumb|[[Mchoro]] wa [[uenezi]] wa [[jenasi]] ''Homo'' katika miaka [[milioni]] [[mbili]] ya mwisho. [[Rangi]] ya [[samawati]] Inaonyesha uwepo wa [[spishi]] fulani [[wakati]] na [[mahali]] fulani.<ref>{{cite journal | last=Stringer | first=C. | title=What makes a modern human | journal=Nature | year=2012 | volume=485 | issue=7396 | pages=33–35 | doi=10.1038/485033a | pmid=22552077}}</ref>]]
'''Binadamu''' (pia '''mwanadamu''') ni neno linalomaanisha "Mwana wa [[Adamu]]", anayeaminiwa na dini za [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] kuwa ndiye mtu wa kwanza.
 
== Binadamu kadiri ya sayansi ==
[[Sayansi|Kisayansi]] jina hilo linaweza kutumika kwa maana ya ''Homo sapiens'' ili kumtofautisha na viumbe wengine wa [[jenasi]] [[Homo]] ambao wote walitoweka walau miaka 12,000 hivi iliyopita.
9

edits