Sayari-nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Exoplanet Discovery Methods Bar.png|thumb|300px|Idadi ya Sayari za Nje, kufuatana na mwaka wa kugunduliwa hadi Septemba 2014.]]
'''Sayari-nje''' au '''Sayari ya nje''' (kwa [[ing.Kiingereza]] [[:en:exoplanet|"exoplanet"]], au "extrasolar planet") ni [[sayari]] inayozunguka [[nyota]] isiyo [[Jua]] letu. Iko nje ya [[mfumo wa jua|mfumo wetu]].
 
Mnamo mwakaAprili 2017[[2019]] zaidi ya sayari-nje 30004000 zinazozunguka [[nyota]] mbalimbali zilitambuliwazimetambuliwa tayari. <ref>{{cite web|url=http://exoplanetarchive.ipac.caltech.edu/cgi-bin/ExoTables/nph-exotbls?dataset=planets|title=Exoplanet Archive Planet Counts|publisher=}}</ref><ref name="kepler1700">{{cite web |last1=Johnson |first1=Michele |last2=Harrington |first2=J.D. |title=NASA's Kepler Mission Announces a Planet Bonanza, 715 New Worlds |url=http://www.nasa.gov/ames/kepler/nasas-kepler-mission-announces-a-planet-bonanza/ |date=February 26, 2014 |work=[[NASA]] |accessdate=February 26, 2014 }}</ref><ref>{{cite web|url=http://phl.upr.edu/projects/habitable-exoplanets-catalog|title=The Habitable Exoplanets Catalog - Planetary Habitability Laboratory @ UPR Arecibo|publisher=}}</ref>
 
==Wasiwasi kuhusu sayari-nje==
Kwa muda mrefu sayari zilizopozilizoko nje ya mfumo wa Jua letu hazikujulikana. [[Wataalamu]] walitofautiana kama [[Gimba|magimba]] ya namna hayahiyo yapo au la.

[[Giordano Bruno]] aliwaza mnamo [[karne ya 16]] ya kwamba katika [[anga]] kuna [[dunia]] nyingi katika angazilizo sawa na Dunia yetu.<ref>Eli Maor (2013), uk 198</ref> [[Isaac Newton]] alifikiri pia ya kwamba sayari zinaweza kuwepo nje ya mfumo wetu. Lakini haikuwezakanahaikuwezekana kuthibitisha [[nadharia]] hizi.hizo Hadihadi [[miaka ya 1990]], hivyo [[idadi]] kubwa ya [[wanaastronomia]] bado walihangaika kama sayari-nje ziko au la.
 
Matatizo makuu ya kuthibitisha kuwepo kwa sayari-nje ni:
*sayari ni ndogo sana zikilinganishwa na nyota
*sayari haiwaki, yaani haina [[nuru]] yenyewe, isipokuwa inaweza kuakisishakuakisi nuru ya nyota
 
==Ugunduzi wa sayari-nje za kwanza==
[[Mwaka]] [[1992]] [[watafiti]] [[Aleksander Wolszczan]] na [[Dale Frail]] waliofanya [[kazi]] ya [[astronomia ya redio]] walitangaza kugunduliwa kwa sayari [[mbili]] zinazozunguka [[nyota tutusi]] (''pulsar'') [[PSR 1257+12]].<ref name="Wolszczan">{{Cite journal | last1 = Wolszczan | first1 = A. |bibcode=1992Natur.355..145W| last2 = Frail | first2 = D. A. | doi = 10.1038/355145a0 | title = A planetary system around the millisecond pulsar PSR1257 + 12 | journal = Nature | volume = 355 | issue = 6356 | pages = 145–147 | year = 1992 | pmid = | pmc = }}</ref> Sayari hizihizo hazikutazamiwahazikuweza kutazamwa lakini kuwepo kwaokwake kulikadiriwa kwa saabu watafiti walipima mabadiliko ya [[mwendo wa nyota]] yaliyoweza kuelezwa tu kutokana na [[masi]] ya karibu inayobadilisha mwendo wa kawaida. Miaka michache baadaye taarifa hii ilithibitishwa na wagunduzi wengine.
 
Wataalamu wa astronomia waliendelea kugundua sayari-nje (ing. exoplanets) zinazozunguka nyota mbalimbali. Kutokana na [[umbali]] mkubwa na matatizo ya utazamaji hakukuwa na uhakikahakika kwa muda mrefu kama sayari-nje ni jambo la kawaida angani au kama sayari ni chache tu.
 
==Mbinu wa kutambua mpito wa sayari==
Baada ya kuboreshwa kwa [[vifaa]], [[vipimo]] vya mabadiliko ya mng'aro vimeonyesha mipito ya sayari, maana wakati wa kupita kwa sayari kati ya nyota fulani na mtazamaji duniani, sayari inafunika sehemu ya nyota yake na hivyo mng'aro wake unapungua. Kiasi cha mabadiliko ya mng'aro kinaruhusu kukadiria umbali wa sayari na nyota yake na ukubwa wake. Sayari-nje nyingi zimetambuliwa kwa kutumia mbinu huuhii.
 
Kutokana na [[maendeleo]] ya [[darubini imewezekana]], tangu mwaka [[2004]] imewezekana kutambua sayari-nje kadhaa moja kwa moja sayari-nje kadhaa lakini idadi yaoyake hadi sasa ni ndogo wakwa sababu ugunduzi ni vigumumgumu.
 
Nyingi kati ya hizo zilikuwa na ukubwa wa kufanana na [[Mshtarii]] au kubwa zaidi. Mabadiliko ya mng'aro wakati wa mpito wa sayari mbele ya nyota ni ndogomadogo sana, hivyo si rahisi kuthibitisha mpito wa sayari ndogo inayosababisha mabadiliko madogo mno. Hata hivyo sayari ndogo zaidi kwa ukubwa kama Dunia zimetambuliwa pia.
 
[[File:Size of Kepler Planet Candidates.jpg|thumb|300px|right|Sizes of ''Kepler'' Planet Candidates – based on 2,740 candidates orbiting 2,036 stars {{As of|2013|11|04|lc=on}} (NASA).]]
 
Hadi [[tarehe]] [[1 Aprili]] [[2017]] jumla ya sayari-nje 3,607 zimeorodheshwazilikuwa zimeshaorodheshwa katika "Extrasolar Planets Encyclopaedia"<ref>[http://exoplanet.eu/catalog/ Orodha ya Exoplanets], inataja " 3608 planets / 2702 planetary systems / 610 multiple planet systems", iliangaliwa Aprili 2017</ref>
 
Siku hizi wataalamu wanaona idadi ya sayari ni kubwa sana. Maana mbinu waia kupima mpito wa sayari mbele ya nyota yake inaleta matokeo kwa sehemu ya nyota tu. Inatuonyesha matokeo kama bapa la mfumo wa nyota ([[ekliptiki]] yake) inalingana na mtazamo wetu kwa nyota husika; kama ekliptiki waya nyota imenamaimeinama mno kulingana na mtazamo wetu, hatuwezi kuona mpito wa sayari kutoka Dunia, hivyo hatuoni mabadiliko ya mng'aro.
 
==Tanbihi==