Mshtarii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
[[Uso]] wa sayari hauonekani kwa sababu [[angahewa]] nzito inafunika kila sehemu. Maada ya angahewa ni hasa [[hidrojeni]] na [[heli]]. Kutokana na uzito wa angahewa [[shinikizo]] ndani yake inaongezeka sana katika vilindi vyake na kusababisha [[gesi]] za angahewa kuingia katika hali ya [[giligili]] (majimaji) inayobadilika kuwa [[mango]] (imara) ndani zaidi. Zamani iliaminika ya kwamba sayari yenyewe ni ya gesi iliyoganda lakini siku hizi wataalamu wa [[astronomia]] huamini ya kwamba kuna kiini cha [[mwamba]] au [[metali]].
 
Doa jekundu linaloonekana usoni mwa angahewa ni [[dhoruba]] ya [[tufani]] kubwa sana iliyotazamwa mara ya kwanza miaka 300 iliyopita wakatitangu [[darubini]] za kwanza zilipopatikana. Duniani tufani zinapotea kwa kawaida baada ya [[wiki]] kadhaa lakini doa jekundu limeendelea bila kusimama kwa miaka 300.
 
== Miezi ==