Bahari ya Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Southern Ocean.png|thumb|300px|Bahari ya Kuini inayozunguka bara la Antaktiki.]]
[[Picha:Iceedgekils.gif|thumb|350px|Ramani hii inaonyesha mabadiliko ya halijoto ya maji ya bahari za dunia katika mwendo wa mwaka. Inaonekana jinsi gani kanda la barafu linalozunguka pwani la Antaktika (chini kabisa, rangi ya kijivu) hupanuka na kurudi nyuma kila mwaka.]]
'''Bahari ya Kusini''' (pia: '''Bahari ya Antaktiki''') ni [[jina]] jipya katika [[jiografia]]. Linamaanisha [[maji]] yote ya [[kusini]] ya [[latitudo]] ya 60 yanayozunguka [[bara]] la [[Antaktiki]].
 
Katika eneo hilihilo maji ya [[Bahari ya Atlantiki]], [[Bahari Hindi]] na [[Pasifiki]] hukutana na kuingiliana. Kwa muda mrefu [[wataalamu]] wa [[Shirika la Kimataifa la Hidrografia]] walihesabu eneo kama vitengo vya kusini vya bahari hizo [[tatu]] kubwa lakini katika [[karne ya 20]] wazo la kuitazama kama bahari ya pekee imesambaa na Bahari ya Kusini imerudi kwenye [[ramani]]. <ref>[http://www.iho.int/iho_pubs/standard/S-23/S-23_Ed3_1953_EN.pdf Taarifa ya IHO ya 1937] ilifuta jina la Bahari ya Kusini, lakini katika [http://www.iho.int/mtg_docs/com_wg/S-23WG/S-23WG_Misc/Draft_2002/Draft_2002.htm nakala ya 2002, mlango wa 10] imerudishwa.</ref>
'''Bahari ya Kusini''' (pia: '''Bahari ya Antaktiki''') ni jina jipya katika [[jiografia]]. Linamaanisha maji yote kusini ya [[latitudo]] ya 60 yanayozunguka bara la [[Antaktiki]].
 
Eneo lote ni la [[kilomita za mraba]] 20,327,000 za maji. Linazunguka [[pwani]] laya Antaktika lenyeyenye [[urefu]] wa [[kilomita]] 17,968 km. [[Kina]] kikubwakirefu ni mnamo[[mita]] 5,805 mitahivi.
Katika eneo hili maji ya [[Bahari ya Atlantiki]], [[Bahari Hindi]] na [[Pasifiki]] hukutana na kuingiliana. Kwa muda mrefu wataalamu wa [[Shirika la Kimataifa la Hidrografia]] walihesabu eneo kama vitengo vya kusini vya bahari tatu kubwa lakini katika karne ya 20 wazo la kuitazama kama bahari ya pekee imesambaa na Bahari ya Kusini imerudi kwenye ramani. <ref>[http://www.iho.int/iho_pubs/standard/S-23/S-23_Ed3_1953_EN.pdf Taarifa ya IHO ya 1937] ilifuta jina la Bahari ya Kusini, lakini katika [http://www.iho.int/mtg_docs/com_wg/S-23WG/S-23WG_Misc/Draft_2002/Draft_2002.htm nakala ya 2002, mlango wa 10] imerudishwa.</ref>
 
Sehemu zake karibu na pwani hufunikwa na [[barafu]] inayokua wakati wa [[baridi]]. Katika miezi ya [[joto]] vipande vikubwa vya barafu huvunjikahumeguka na kuelea katika maji kama [[siwa barafu]] ambakoambayo ni hatari kwa ajili ya [[meli]] lakini zinayeyuka polepüolepolepole kadrikadiri jinsi zinavyofikazinavyofikia maji yasiyo baridi tena.
Eneo lote ni [[kilomita za mraba]] 20,327,000 za maji. Linazunguka pwani la Antaktika lenye urefu wa kilomita 17,968 km. Kina kikubwa ni mnamo 5,805 mita.
 
Sehemu zake karibu na pwani hufunikwa na barafu inayokua wakati wa baridi. Katika miezi ya joto vipande vikubwa vya barafu huvunjika na kuelea katika maji kama [[siwa barafu]] ambako ni hatari kwa ajili ya meli lakini zinayeyuka polepüole kadri jinsi zinavyofika maji yasiyo baridi tena.
 
==Marejeo==
Line 16 ⟶ 15:
 
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:AntaktikiAntaktika]]