Max Carver : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Max Carver|thumb|Max Carver '''Max Carver''' ni mwigizaji ambaye ni Mmarekani. Anajulikana kwa kuwepo katika m...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:54, 2 Juni 2019

Max Carver ni mwigizaji ambaye ni Mmarekani. Anajulikana kwa kuwepo katika mfululizo wa televisheni wa ABC unaoitwa Desperate Housewives, na akitumia jina la Aiden katika filamu ya Teen Wolf. Alionekana katika msimu wa kwanza wa mfululizo wa HBO unaoitwa The Leftovers. Pia ana kaka yake ambaye ni pacha yake aitwaye Charlie Carver ambaye ameonekana katika maonyesho ya mdogo wake yote matatu.

Max Carver
Max Carver
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Carver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.