Antonio Rüdiger : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:20180602 FIFA Friendly Match Austria vs. Germany Antonio Rüdiger 850 0711.jpg|thumb|Antonio Rüdiger]]
'''Antonio rüdigerRüdiger''' (alizaliwa [[3 Machi]] [[1993]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ujerumani]] ambaye anacheza kama [[beki]] wa [[klabu]] ya [[Ligi Kuu]] ya [[Uingereza]] [[Chelsea FC]] na [[timu ya taifa]] ya [[Ujerumani]].
 
Alianza kazi yake akiwa na klabu ya VfB Stuttgarta katika ligi ya [[Bundesliga]].

Mwaka [[2015]] alijiunga na [[klabu]] ya [[AS Roma]], awali kwa [[mkopo]] na mwaka mmoja baadaye kwa ada ya milioni 9.

Alisainiwa na Chelsea mwaka [[2017]] kwa wastani wa [[£]] 27 milioni.
 
{{mbegu-cheza-mpira}}