Tikitimaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Removing Tikiti_maji.jpg, it has been deleted from Commons by c:User: because: Copyright violation: hardly own work: https://www.google.com/search?q=magonjwa+ya+tikiti&tbm=isch&tbs=simg:CAQSkwEJehUBGLUmWJUahw
Mstari 1:
[[image:Taiwan 2009 Tainan City Organic Farm Watermelon FRD 7962.jpg|thumb|Tikitimaji.]]
[[File:Citrullus lanatus var. citroides.JPG|thumb|shamba la mitikiti-maji huko [[jangwa la Kalahari]].]]
 
[[Picha:Tikiti maji.jpg|thumb|300x300px|Hili ni tikiti maji.]]
'''Tikitimaji''' au '''tikiti-maji''' ni [[tunda]] la [[mtikiti|mtikiti-maji]] lenye [[maji]] na [[nyama]] ambalo huchangia kutoa ngazi ya juu ya [[vitamini]], [[madini]] n.k. Matikiti maji ni mojawapo ya jamii aina ya matunda au mbogaboga inayotambaa. Mimea hii inapatikana katika kundi linalojumuisha mimea mingine kama kama matango, maboga na maskwash.